Mchungaji
mmoja wa kanisa fulani alikuwa na huduma nzuri sana na maombi na
maombezi kwenye local church yake. Si utaratibu wa kanisa lao kuwa na
huduma ya maombezi. Kwa hyo akaanza kupangiwa mipango kuwa yuko kinyume
na utaratibu wa kanisa. Askofu wake alivyokuja kuona huduma ile
alifanyiwa mizengwe ya kufukuzwa kazi. Katika kujitetea akamwambia
Askofu kosa langu liko wapi? Maana nimegundua katika maandiko watu
wakiombewa kwa jina la Yesu wanapokea uponyaji, sasa kwanini kunizuia? .. Kusoma zaidi
No comments:
Post a Comment